The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Flaviana Temba – Niliumizwa Vibaya, Mpenzi Wangu Alitembea na Rafiki Yangu -Video

0

Mwanadada mjasiriamali Flaviana Temba @officialflaviana_temba aliyetoboa kwa kuuza viatu, akianzia kuuza mitandaoni mpaka sasa akiwa na duka kubwa, amesema ni makosa makubwa kumweka mpenzi wako karibu na marafiki zako wa jinsia tofauti na yake.

Akitolea mfano wa kilichomtokea, Flavy amesema alimfanya mpenzi wake kuwa rafiki wa rafiki yake wa karibu na mwisho aliishiwa kusalitiwa kwa wawili hao kutoka kimapenzi, jambo ambalo lilimuathiri sana.

Leave A Reply