The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Jenipha Kanumba Afunguka Kuhusu Mpenzi Wake – ”Natamani Kuwa Na Mbaba”….

0

Msanii wa Bongo Movie Jennifer Kanumba amefunguka mengi kupitia Exclusive za Imelda Mtema Jennifer anadai kuwa trendi ya wadada wa mjini kwa sasa ni kwa wanaume watu wazima kwani wameonekana kuhudumia vizuri kuliko vijana.

Leave A Reply