The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Kijana Aliyepiga Picha ya JPM Iliyotrend Afunguka – Video

0

KIJANA wa Kitanzania, Johnson Martin, ambaye ndiye aliyepiga picha maarufu zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli ameieleza Global Tv Online safari yake katika tasnia hiyo na namna picha hiyo ilivyobadili maisha yake.

Leave A Reply