The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: KINJE Afungukia ‘Video’ Zake za Mahaba na Tunda – Video

KUFUATIA video chafu ya mtoto wa mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Kinjekitile maarufu kama Kinje kusambaa mitandaoni wakipigana denda hadharai na muuza nyago kwenye video za bongo, Tunda huku wakila Bata  mahaba mazito, Kinje ameamua kuvunja ukimya na kufunguka kilichotokea.

Kupitia Exclusive Interview na Global TV amesema kuwa hajafurahishwa na video hizo kusambaa kwani hata yeye hakupenda iwe hivyo bali ni hali ya pombe ilipelekea mpaka kufikia hivyo.

Kuhusu uhusiano wa kimapenzi na mwanadada huyo, Kinje pia amefunguka mengi na kueleza hali halisi.

Nisikumalizie uhondo, Tazama Mahojiano haya.

Comments are closed.