The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Linda Amwaga Machozi Alivyomuibia Pesa Baba Yake, Afichua Alivyouza Dawa Za Kulevya – Video

0

Mbunifu wa mavazi Mtanzania anayeishi nje ya nchi @linda_bezuidenhout ambaye pia ni dada wa mshindi wa Big brother 2007, Richard Bezuidenhout, amefunguka mengi kuhusu maisha yake ikiwemo jinsi alivyogoma kuuza mwili wake pamoja na jinsi alivyomuibia baba yake mzazi fedha na kutorokea Vienna nchini Austria.

Akifanyiwa mahojiano na Global TV kupitia Exclusive za Imelda Mtema, amefunguka vitu kibao.

Leave A Reply