The House of Favourite Newspapers

MAKONDA AMTEMBELEA CASSIAN WA BSS MUHIMBILI – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Alhamisi, Februari 21, 2019 amemtembela aliyekuwa Mshindi wa Bongo Star Search ‘BSS’ 2009, Pascal Cassian ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar akipatiwa matibabu.

 

Madaktari wamepata matumaini kwamba Mgonjwa wetu anaweza kutibiwa na kwa kiwango kinachostahili Mungu ikimpendeza anaweza kupona na kurudi.” amesema Makonda.

 

Ikumbukwe kuwa Cassian alipata ajali ya gari maeneo ya Manyoni Singida na kuumia vibaya na kuvunjika nyonga.

Comments are closed.