The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Mfanyabiashara Anayetrendi Kariakoo – Ajilipua Wanaotangaza Bei Wakiwa China…

0

Mara nyingi huwa ni rahisi zaidi kusikia stori za mke akilalamika kwa watu kuhusu madhila anayofanyiwa na mumewe lakini mwanadada @diana_international_agent yeye amekuja kitofauti.

Mwanadada huyo ambaye ni mfanyabiashara maarufu anayejinasibu kama Mtetezi wa Wamachinga, amempa mume wake maua yake na kueleza kuwa yeye ndiye aliyemfanya apate mafanikio aliyonayo leo.

Pia amefungukia changamoto wanazokumbana nazo wafanyabiashara wanaoagiza mizigo kutoka nje na kukanusha kwamba siyo wafanyabiashara wote huuza bidhaa zao bei za juu tofauti na bei wanazonunulia bidhaa hizo nje ya nchi.

Leave A Reply