Exclusive: Mrembo Aliyebambiwa Na Harmonize Jukwaani Kahama Afunguka-“Usinifananishe Na Gigy Money”- Video
Leo kwenye Exclusive interview Global tv tumekuletea mrembo @neyshabikiwaharmonizeno1 unakumbuka msanii @harmonize alipiga shoo siku kadhaa nyuma kule kahama ambapo mrembo Ney alipanda stejini na kufanya Harmonize ashindwe kujizuia leo mrembo huyo anafunguka mengi ikiwemo @fred_vunjabei alihusika kumpandisha jukwaani.