EXCLUSIVE: OMG Hawana MPINZANI Aisee! – Video

Miongoni mwa makundi ya muziki yanayotikisa kwa sasa Bongo ni pamoja na OMG Linaloundwa na wanamuziki watatu ambao ni Young Lunya, Salmin Swaggz pamoja na Con Boi.

 

Katika kipindi cha Bongo 255 leo, Young Lunya ametambulisha ngoma yake mpya ya ‘TIKISA’, na Salmin Swaggz ametambulisha ngoma yake ya ‘ICE’, Ambazo zinatikisa mitaani kwa sasa.


Loading...

Toa comment