The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Queen Masanja Afunguka Kutovaa Stara – ”Mwanamke Usiogope Kuanza Upya” – Video

0

Queen Masanja ni mwanamke ambaye amewahi kuwa mke wa Dokta Mwaka kabla ya ndoa yao haijapigwa na kimbunga na kusababisha mvurugano mkubwa.

Hapa anawashauri wanawake kwamba kuanza upya inawezekana kwenye kila kitu, iwe ni kwenye ndoa, kwenye biashara na kwenye maisha kwa jumla.

Leave A Reply