#Exclusive: Sidi Wa Huba Afunguka Wanaosema Ameolewa Na Muhogo Mchungu – Video
Msanii ambaye ni zao la Tamthiliya ya Huba, Sidi amefunguka kuwa hana tabia kama ambazo anaziigiza, za kutembea na wachumba wa watoto wake, bali anaigiza ili kuelimisha jamii hivyo watu wasimchukulie tofauti kwani ni mtu mwenye heshima zake huku akiwa ni mama wa familia na mume wake anaheshimu kazi yake ya sanaa.