The House of Favourite Newspapers

Exclusive Video: Amina Vikoba Amchana Manara – “Zaylissa Ni Wetu Kwa Njia Yoyote Ile Hata Iweje”

0

Dada wa msanii wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila, Amina Vikoba, jana alifunguka kuwa katika mahusiano ambayo anayachukia sana ni mahusiano katika ya Zaylisa na Haji Manara, kitu ambacho anaombea kila siku hata kama watafanikiwa kufunga ndoa, basi siku hiyo kila kitu kiharibike.

Akiongea kwa uwazi kabisa mbele ya waandishi wa habari wakati akipata ubalozi wa kampuni ya kuuza viwanja sehemu mbalimbali inayojulikana na Seven Bird Investiment @7_birds_investiment,ambapo hafla hiyo fupi ilifanyika katika ofisi zao zilizopo jengo la Elite,Posta jijini Dar.

Leave A Reply