Exclusive Video: Jasinta Atamani Kulia Akifichua Ya Mama Yake, Nyumba Aliyomjengea…
Mwanamitindo, mwigizaji na mjasiriamali anayekuja poa Bongo, @jasintamakwabe amefunguka kuwa katika maisha yake ya kimapenzi, ameumizwa sana na wanaume aliowahi kuwa nao kwenye uhusiano.