The House of Favourite Newspapers

#Exclusive Video: Madam Rita Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake na Watoto Wake

0

Mdau mkubwa wa sanaa hapa nchini na pia mwanamama ambaye ameibua vipaji vingi sana kupitia shindano lake la Bongo Star Search, Jaji Madam Rita Paulsen @msritapaulsen amesema kuwa kile alichoigiza kupitia Jua Kali, kama mama sio kwamba ameigiza ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku.

Akizungumza hayo wakati anahojiwa na Global Tv alisema kuwa katika kitu ambacho hataki masihara ni kwa upande wa watoto wake na ndio maana ameigiza na Femi @official_mulky kwa uhusika mkali sana kama mtoto wake

Leave A Reply