The House of Favourite Newspapers

#Exclusive Video: Mapacha Watamani Kuolewa Na Mwanaume Mmoja, Wafunguka..

0

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, @chobis_twins ambao wamezaliwa pacha, wamefunguka kuwa kutokana na walivyozoeana wanatamani kuolewa na mwanaume mmoja lakini kwa kuwa dini hairuhusu, basi mwanaume atakayemuoa mmoja kati yao, lazima awachukue wote.

Wakifanya mahojiano na @globaltvonline, wasichana hao wamefunguka mambo mengi ikiwemo ngoma yao waliyoiachia ya Sitaki.

Leave A Reply