The House of Favourite Newspapers

#Exclusive Video: Mwanaheri Atamba – ”Naanzaje Kuachika Na Uzuri Wote Huu? Mtoto Wangu Ana Mama Wawili”

0

Msanii wa Bongo Movie Mwanaheri maarufu kama Madam Simba amefunguka kupitia Exclusive za Imelda Mtema kuwa yeye ameolewa na mtu mzima na anaenjoy sana kwani anapata kila anachokitaka kutoka kwa bwana huyo.

Mwanaheri ameweka wazi kuwa hatishwi wala kuogopa mtu kwani wamependana wenyewe na hakuna cha ndugu kuingilia wala wapambe kutoka kwenye mitandao ya kijamii kwani mume wake hana account kwenye mitandao ya kijamii.

Leave A Reply