The House of Favourite Newspapers

#Exclussive: Mbwana Samatta Afanya Kufuru Kijijini Kwao – Afuata Nyao Za Sadio Mane – Video

0
Mbwana Samatta akifanya yake.

WAKAZI wa Vikindu Kidubwa Mkoa wa Pwani, wameanza kuutumia msikiti uliojengwa na mshambuliaji wa Greece club PAOK, Mtanzania, Mbwana Samatta.

Samatta alianza kuujenga msikiti huo mwaka 2018 wakati akiitumikia KRC Genk ya Ubelgiji aliyojiunga nayo akitokea TP Mazembe, kabla ya kwenda Aston Villa, Fenerbahce na sasa akiwa Greece club PAOK ya Ubelgiji.

Leave A Reply