The House of Favourite Newspapers

FAMILIA YAFUNGUKA LISSU KUREJEA NYUMBANI – VIDEO

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, kupitia kwa msemaji wake Alute Mughwai Lissu, imekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikidai mbunge huyo anatarajiwa kurejea nchini wakati wowote baada kupona majeraha ya risasi anayotibiwa huko Ubelgiji.

 

Alute ambaye pia ni Mwanasheria wa kujiegemea, amesema Lissu anatarajiwa kufanyiwa operesheni nyingine hivi karibuni huku akitoa rai kwa Watanzania kuendelea kumchangia ili aweze kufanikisha matibabu yake ya awamu ya tatu anayoendelea kuyapata nchini humo.

VIDEO: MSIKIE KAKA WA LISSU AKIFUNGUKA

Wapinzani Wasusia Bunge – Video

Comments are closed.