The House of Favourite Newspapers

Feza Girls Yaongoza Matokeo Kidato cha Sita, Shule 10 Hizi Hapa

0
Shule ya Sekondari ya Feza Girls.

 

Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 yametoka leo Jumamosi, Julai 15 huku shule ya Wasichana ya Feza Girls ikiibuka kinara kwa watahiniwa wake 67 kufaulu kwa kupata daraja la kwanza na la pili.

 

Shule ya Sekondari ya Feza Boys.

 

Shule nyingine  ni  Marian  Girls (Pwani) iliyoshika nafasi ya tano, Mzumbe (Morogoro) nafasi ya sita, St Marry Mazinde Juu (Tanga) nafasi ya saba, Tabora Boys (Tabora) nafasi ya nane, Feza BOYS (Dar es Salaam) nafasi ya tisa na Kibaha ya Pwani iliyoshika namba kumi.

 

Lango Kuu la Shule ya Sekondari ya Feza Girls.

 

Tazama Orodha ya Shule 10 Bora

  1. Feza Girls
  2. Marian Boys
  3. Kisimiri
  4. Ahmes
  5. Marian Girls
  6. Mzumbe
  7. St Marry Mazinde Juu
  8. Tabora Boys
  9. Feza Boys
  10. Kibaha

 

Kabhabhela Bukuru ambaye amekuwa wa Saba kwa wasichana Kitaifa akipongezwa na Mkuu wa Shule za Feza, Ibrahim Yunus.

Matokeo Ya Kidato Cha Sita Yatangazwa, Bofya Hapa Kuyaona

Shule nyingine zilizoibuka kidedea katika matokeo hayo ni Marian Boys, iliyoshika nafasi ya pili, Kisimiri (Arusha) imeshika nafasi ya tatu na Ahmes (Pwani) imeshika nafasi ya nne.

Atuganile Jimmy aliyeshika nafasi ya nane Kitaifa na wa tatu kwa wasichana akipongezwa na mama yake mzazi.

NECTA Yawafutia Matokeo Wanafunzi 10 wa Kidato cha Sita

Walimu wa Feza Girls wakiwapongeza wanafunzi wao.

Vinara wa Matokeo Kidato cha Sita Hawa Hapa

Pongezi kwa wingi.

 

TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA (NECTA)

MATOKEO KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2017

MATOKEO YA DIPLOMA YA UALIMU (DSEE) 2017

MATOKEO YA CHETI CHA UALIMU (GATCE) 2017

PICHA NA DENIS MTIMA | GLOBAL PUBLISHERS

Leave A Reply