The House of Favourite Newspapers

FIESTA DAR: CHID BENZ AFANYA MAZISHI JUKWAANI! – VIDEO

Kama uliimiss kumuona mtu mzima Chid Benz kwenye steji au labda ulihisi kuwa balaa lake stejini limepungua kasi basi naomba nikwambie miongoni mwa wasanii waliotikisa uwanjani kwenye tamasha la Fiesta 2018 ni yeye.

 

Comments are closed.