The House of Favourite Newspapers

Filamu ya Idris ‘Slay’ Yaingia Top 10

0

IMECHUKUA miezi mitatu na wiki kadhaa kabla ya kurejea tena kwa filamu ya Slay aliyoshiriki Mtanzania Idris Sultan kwenye mtandao wa Netflix.

 

Filamu hiyo ilitolewa kwenye mtandao huo April 26 mwaka huu kwa sababu ya hakimiliki na kufanikiwa kurejeshwa tena August 8. Good news ni kwamba mapokeo yake yamekua makubwa sana.

 

Filamu hiyo imeingia kwenye Top 10 ya Netflix nchini Nigeria ikishika nafasi ya 5, huku Idrissultan akiwakilisha vyema Bongo Land kwa kuitendea haki filamu hiyo kwenye maeneo aliyopewa uhusika.

 

Leave A Reply