FT: Simba 4-0 Biashara Utd, Ligi Kuu Bara, Uwanja Wa Mkapa

Timu ya Simba inaongoza kwa mabao 4-0 dhidi ya Biashara mabao ya simba yakifungwa na  Clatous Chota Chama 9′, 26, Meddie Kagere 52′ na Chris Mugalu 84′

Dakika 90 zinakamilika

Dakika ya 84 Gooal Mugalu

Dakika ya 83 Mgore anaanzisha  mashambulizi kwenda Simba

Dakika ya 80 Luis anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 70 Simba wanapeleka mashambulizi kwa Biashara United

Dakika ya 63 anatokwa Bwalya anaingia Morrison

Dakika ya 62 Abdalha Tariq anafanya jaribio halileti matunda

Dakika ya 61 Biashara United wanapeleka mashambulizi kwa Simba

Dakika ya 52 Goooal Kagere

Mapumziko:-Simba  2-0 Biashara United

Imeongezwa dakika 1

Dakika 45 zimekamilika


Dakika ya 36 Bwalya anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 26 Chama Gooooal la pili kwa Simba

Dakika ya 20 Luis anapiga faulo inaokolewa na Mgore

Dakika ya 19 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 16, Ndemla anaingia kuchukua nafasi ya Fraga ambaye ameumia

 

Klabu ya soka ya Simba imeingia uwanjani kuvaana na Biashara UTD, katika mchezo wa ligi kuu unaochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar leo Septemba 20, 2020… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Toa comment