The House of Favourite Newspapers

Matokeo ya Uchaguzi Kwa Wagombea Ubunge wa EALA, Chadema

0

Josephine Lemoyan.
Pamela Maasay

Matokeo ya uchaguzi kwa wagombea nafasi za ubunge wa Afrika Mashariki EALA kutoka Chadema.
1. Profesa Abdalla Safarikura 35.
2. Wenje kura 34
3. Lawrence Masha kura 44
4. Salim Mwalimu kura 54
5. Josephine Lemoyan kura 219
6. Pamela Maasay kura 200.
Washindi waliochaguliwa na wabunge.

1. Josephine Lemoyan
2. Pamela Maasay

Wabunge: 9
Wanaume: 4
Wanawake 5

VIDEO: Wenje na Masha Waburuzwa na Wanawake Ubunge wa EALA

Leave A Reply