The House of Favourite Newspapers

Gabo, Mkewe Wamzawadia Mtoto Wao Duka

0

Msanii mkubwa wa filamu Bongo, @gabozigamba na mkewe @tiffany_store_tz jana walimzawadia mtoto wao duka la nguo za watoto linaloitwa @bill_toto lililopo Mwananyamala A, jijini Dar es salaam.

Ambapo wakati wakimzawadia mtoto huyo msanii wa Bongo Fleva, @barnabaclassic alitumbuiza mwanzo mwisho na baadhi ya wasanii wengine wa Bongo Muvi kama Lamata, Samofi na Mutra walikuwepo kwenye hafla hiyo fupi.

 

Gabo alisema wamefurahi sana yeye na mkewe kutimiza ndoto hiyo ya kufungua duka hilo kwa ajili ya mtoto wao huyo.

Leave A Reply