The House of Favourite Newspapers

Gari bovu lageuka daraja Bamaga

0

1.Watembea kwa miguu wakipita ndani ya gari bovu.

Watembea kwa miguu wakipita ndani ya gari bovu.

2.

4

5.

6

7

8

9.Dimbwi lenye maji baada ya mvua kunyesha.
Dimbwi lenye maji baada ya mvua kunyesha.

GARI bovu lililopo eneo la Bamaga, Mwenge, Dar es Salaam katika barabara inayopita mbele ya Baa ya Double Tree (zamani Angel)  limeonekana kugeuka daraja baada ya watembea kwa miguu kulitumia kuwavusha na kukwepa tope na maji yaliyojaa barabarani kutokana na mvua zinazonyesha jijini Dar

Na Denis Mtima/Gpl

Leave A Reply