The House of Favourite Newspapers

Gavana wa Zamani Benki Kuu ya Burundi Dieudonné Murengerantwari Aachiwa Huru

0

Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Burundi “BRB” Dieudonné Murengerantwari, ameachiwa huru ikiwa ni miezi mitatu baada ya kupelekwa katika Gereza Kuu la Mpimba mjini Bujumbura.

Dieudonné Murengerantwari alikamatwa tarehe 7/10/2023 kwa shutuma za uhujumu uchumi,rushwa na matumizi mabaya ya madaraka.

Kabla ya kuhamishiwa katika gereza kuu la Mpimba alikuwa amepelekwa katika gereza la kijasusi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

INAUMIZA! HAMZA AFUNGWA JELA MIAKA 30 BAADA ya MKEWE KUMSINGIZIA KUMBAKA BINTI YAO – AKAA MIAKA 10..

Leave A Reply