The House of Favourite Newspapers

Gigy Money Amtetea Rayavnny – “Paula Kataka Mwenyewe” -Video

0

MSANII wa muziki Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu ‘Gigy Money’ usiku wa kuamkia leo akifanya mahojiano na wanahabari amezungumzia lkuhusu sakata la mtoto wa Kajala Paula na Rayvanny.

“Sioni tatizo kwa Rayvanny mwanangu mimi sio chizi, mtoto wa kike ana nguvu yake huwezi kumzuia kufanya, wangapi wana mahusiano na watu walio wazidi umri? Mimi kama mama ningewabariki tu.”

Leave A Reply