testiingg
The House of Favourite Newspapers

Ligi Ya Mabingwa Imerejea Kibabe Na Meridianbet

0

Najua unajua kuwa leo na kesho Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itachzewa lakini je unaju kuwa ni wapi utapiga mkwanja kama ukitaka kufanya ubashiri? Sehemu ni moja tuu nayo ni Meridianbet ambayo inakupa kile ambacho unakitaka kwa muda sahihi. Hku kuna Manchester United, kule Real Madrid huku Arsenal hawa wote wanataka kukutajirisha wewe.

Manchester United baada ya kupoteza mchezo wa kwanza, leo hii watakuwa Old Trafford kumenyana dhidi ya Galatasaray ya Uturuki huku vijana hao wa Ten Hag wakipewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwa ODDS ya 1.47 kwa 5.88. Je watafanya nini mbele ya Galatasaray yenye Hakim Ziyech na Mauro Icardi?

Mechi nyingine ya kupiga mkwanja ni kati ya  Bayern Munich dhidi ya  FC Copenhagen huku kinara wa kundi hilo Thomas Tuchel akionekana kupewa nafasi kubwa sana ya kushinda mchezo huo akiwa ugenini hii leo. Mwenyeji amepewa ODDS ya 11.76 kwa 1.20. Nani kuibuka na ubabe mechi hii?

Union Berlin atazichapa dhidi ya SC Braga na Berlin atakuwa nyumbani baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Nafasi ya kushinda mechi hii Meridianbet amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.96 kwa 3.67. Bashiri mechi hii.

Mechi nyingine ya mapema itakuwa ni kati ya FC Salzburg ambaye atamkaribisha Real Sociedad. Mgeni altoa sare mechi ya sare mechi ya kwanza huku mwenyeji akiikusanyia pointi tatu zote. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia sasa na ubashiri.

Leo hii hii, Napoli itakipiga dhidi ya Real Madrid mabingwa mara nyingi wa michuano hii. Mara ya mwisho kukutana, Real walishinda mechi, pia timu hizi zimehsinda mechi zao za kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ushindi wa Ancellotti na vijana wake ni ODDS ya 2.60 kwa 2.65. Je ni Garcia au Carlo leo?

Ile Jackpoti baab kubwa ya Meridianbet sasa imefanyiwa ongezeko kubwa kabisa ambapo kwasasa utajipigia shilingi Milioni Mia mbili (200,000,000) kwa buku tuu ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Pia unaweza kubashiri ONLINE kwasasa. Kwa USSD menyu ni ile ile *149*10#. Ingia na ucheze sasa.

Arsenal atakuwa ugenini kusaka pointi tatu zingine dhidi ya RC Lens ya Ufaransa. The Gunners wamepewa ODDS ya 1.65 kushinda mechi hii huku mwenyeji akipewa ODDS ya 5.09. Je Arteta na vijana wake wapata ushindi wa pili?. Ingia Meridianbet na ubashiri mechi hii.

PSG itakuwa ugenini dhidi ya Newcastle United. Vijana wa Eddie Howe hawakuweza kupata ushindi mechi ya kwanza huku wababe wa Ufaransa wao wakipata ushindi. Enrique anataka makubwa kwenye ligi ya mabingwa huku Howe naye akitaka kuonyesha uwezo wake. Mechi hii ina ODDS KUBWA ya 2.60 kwa wageni na 2.55 kwa mwenyeji. Beti sasa.

Borussia Dortmund atamualika AC Milan huku timu zote zikisaka pointi tatu za kwanza kwenye mechi ya pili. BVB alipoteza mechi iliyopita huku Milan wao wakitoa suluhu. Je Mjerumani au ni Muitalia kuibuka na ushindi kesho?

Baada ya Barcelona kutoa kichapo cha maana mchezo wake uliopita, kesho atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya FC Porto ambaye naye alitoa dozi nzito kwenye mechi yake ya kwanza. Xavi na vijana wake wamepewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi hapo kesho wakipewa ODDS ya 1.86. Je Wenyeji watakubali kupoteza mchezo nyumbani?

 

Leave A Reply