The House of Favourite Newspapers

Gigy Money: Nikimpenda Namzalia Hapo Hapo – Video

0

 

Ni headlines za msanii Gigy Money ambaye amefunguka kusema akimpenda mwanaume basi ana uwezo wa kumzalia hata kama akiwa mlemavu atawez kumlea kama kawaida kwa sababu anaamini kwenye upendo wa kweli.

 

 

Gigy Money amesema hilo kwenye ‘baby shower’ ya rafiki yake Amber Lulu baada ya kuulizwa kuhusu mpenzi wake mpya ambaye wanaonekana wakiwa pamoja.

 

 

“Siwezi kumuacha mwanaume anayenipenda, kunijali na kunipa ninachokitaka japo kuachana kupo pale inapotokea, bado natafuta mapenzi ya kweli kwa sababu mimi nikimpenda sana mwanaume namzalia hapohapo na kumtolea ‘photocopy’ hata akiwa mlemavu bado nina uwezo wa kumlea kama kawaida” amesema Gigy Money.

 

Mengine aliyoyazungumza Gigy Money bonyeza hapa

Leave A Reply