The House of Favourite Newspapers

Gilla Anaswa Akipika Mamantilie

0

Gilla (9) Msanii wa filamu Bongo, Glasnost Kalinga ‘Gilla’ katika pozi.

MSANII wa filamu anayekuja juu Bongo, Glasnost Kalinga ‘Gilla’ kumbe ni mjasiriamali akiendesha biashara ya Mamalishe maeneo ya Tabata Bima jijini Dar es Salaam.

Gilla (4)Akipika kwenye mma ntilie yake

Kamera ya gazeti hili ilimnasa Gilla akiwa bize katika mgahawa wake akihangaika huku na huko peke yake na kusababisha watu wanaomfahamu kuwa na maswali vichwani mwao.

Gilla (8)
“Hii biashara nimeifungua muda siyo mrefu na kwa kawaida kuna wasichana wanaonisaidia lakini leo hawapo ndiyo maana nimekomaa mwenyewe ili hela isinipite.

Gilla (1)Bora hivi kuliko kuishi mjini kwa kuwategemea mapedeshee,” alisema msanii huyo.Gilla (6)

Leave A Reply