GLOBAL AFYA: FAHAMU NAMNA YA KUKABILIANA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA
Magonjwa yasiyo ambukizwa yanazidi kuongezeka na kusababisha vifo kwa kiwango kikubwa katika siku za hivi karibuni. Kwa mara ya kwanza Global TV inakuletea kipindi kitakacho chambua namna ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukizwa na hatua za kuchukua unapogundulika una magonjwa hayo.
FUATILIA LIVE DAKTARI AKIFAFANUA
Comments are closed.