The House of Favourite Newspapers

GLOBAL HABARI FEBR 25: ASKARI 8 WALIOMBIPU MAGUFULI WAKAMATWA

0


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Askari Polisi Nane Waliokuwa katika Doria ya Ukamataji wa watuhumiwa wa wizi jijini Dar kwa kosa la kutozingatia maelekezo waliyopewa na Mkuu wa Operation hiyo.

Kamanda Mambosasa ameyasema hayo leo February 25 mwaka huu wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa askari hao kwa kulalamikiwa kuchukua fedha kutoka kwa watuhumiwa hao Aidha Jeshi la polisi linawashikilia watuhumiwa wawili ambao baada yakupekuliwa walikutwa na zaidi ya shilling million 300 pamoja na US Dolar.

Leave A Reply