The House of Favourite Newspapers

Global Habari Mei 23 – Askari Aliyeokoa Mtoto Apandishwa Cheo

0

Jeshi jeshi la zima na uokoaji Mkoani Ngara limemtunukia cheo cha Koplo Askari wa jeshi hilo Dennis Minja baada ya kuokoa maisha ya mtoto aliyepatikana kwenye shimo la choo kwenye shule ya msingi mloganza mkoani humo.

Akizungumza kwa niaba ya Kamishna wa Jeshi hilo, Inspekta Hamis Shaban Dawa ameeleza kufurahishwa na kitendo cha kishujaa ambacho askari huyo amefanya katika kuokoa maisha ya mtoto aliyekutwa kwenye shimo la choo ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa mwaka 1.

Leave A Reply