The House of Favourite Newspapers

GLOBAL KAZINI: Bibi Harusi Atekwa Muda Mfupi Kabla ya Ndoa! – VIDEO

MSIMU mwingine wa Global Kazini umewadia na safari hii tukio kubwa linatetemesha jiji la Dar es Salaam. Ni tukio la bibi harusi mtarajiwa, Mayasa Mariwata, kutekwa na watu wasiojulikana, ikiwa ni siku chache kabla ya kufungwa kwa ndoa yake na Nyemo Chilongani.

 

Kwa muda mrefu penzi la wawili hao lilijawa na misukosuko ya hapa na pale, adui mkubwa akiwa ni mwanamke mwingine mwenye penzi la dhati kwa Nyemo aitwaye  Joyce ambaye baada ya kukataliwa, anaamua kuchukua uamuzi mgumu wa kukodi watu kwa ajili ya kumteka na kumpoteza Mayasa.

 

Upande wa pili maandalizi yameshapamba moto na hakuna anayejua ni nini kinachoendelea upande wa pili. Je, nini kitafuatia? Tazama tamthiliya hii ya kufurahisha.

Comments are closed.