The House of Favourite Newspapers

Waziri Silaa Arejesha Kiwanja Kilichoporwa Na Tajiri Wa Mabasi Ya Tanga – Video

0

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema kazi yake yeye ni kama bishara ya utumbo na hawezi kuogopa nzi.

Waziri Silaa ametoa kauli hiyo akimaanisha hatorudishwa nyuma na watu wanaopika majungu kuhusu utendaji kazi wake kwamba anajinufaisha na viwanja anavyonyang’anya matapeli na kuwasaidia wananchi.

Ameyasema hayo mkoani Tanga wakati akiagiza wananchi wanyonge walovunjiwa nyumba zao katika kiwanja na. 4 kilichopo Tanga mjini na tajiri mmiliki wa mabasi ya Tahmed kwa kudai ameshinda kesi kiwanja namba 1.

Aidha, amewaagiza makamisha wasaidizi wote wa ardhi nchini kuandika taarifa za ziara na kazi zake za clinic na kuziwasilisha Serikalini ili wote wanaopelekewa majungu wajiridhishe.

Leave A Reply