The House of Favourite Newspapers

GLOBAL TV ONLINE – LIVE: Uzinduzi wa Video ya Mimi Mars (Shuga)

 BONGO FLEVANI: Msanii Mimi Mars ambaye ni mdogo wake na Queen wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘ Vee Money’ ameingiza mzigo mpya sokoni kwa kuzindua video ya wimbo wake mpya uitwao #SHUGA

Event hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Club Next Door, uliopo Msasani Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo Barnaba, Joh Makin, Vanessa Mdee na wengine wengi.

Twende pamoja kutazama full event kupitia hapa hapa Global TV Online.

Comments are closed.