The House of Favourite Newspapers

PITA HAPA UONE, UTASHANGAA – VIDEO

Prince Stationery ni Maduka yanayoongoza kuuza Magari Mazuri ya Watoto, Dron Camera za watoto, Dressing table za watoto wa kike, nguo mbalimbali za watoto, Michezo Mbalimbali ya watoto pamoja na vifaa vya watoto vya shule.

 

Kutokana na ubora pamoja na uzuri wa Bidhaa zao zinazopatikana kwa jumla na rejareja hali inayofanya kuwa gumzo kila kukicha kutokana na watu mbalimbali kutoka pande zote za Tanzania na Visiwani Zanzibar kufurika kwenye maduka hayo na kujipatia bidhaa hizo.

 

Hata hivyo Prince Stationery wametangaza punguzo kubwa sana la Mauzo ya bidhaa zao ikiwemo vifaa vya shule hivyo kuwapa fursa wamiliki mbalimbali wa shule pamoja na wazazi kufika kwenye Maduka yao na kujipatia bidhaa hizo kwa jumla na rejareja hasa ndani ya mwanzo wa mwaka huu 2019 ,Tazama video hii ili ujionee mwenyewe mambo yalivyo Konki.

Comments are closed.