The House of Favourite Newspapers

Guardiola Huwataka Wachezaji Kutofanya Mapenzi Baada ya Saa 6 Usiku

3672C49400000578-3699974-Guardiola_looked_full_of_thought_as_his_team_headed_for_the_tunn-a-52_1469044340016

Mchezaji wa Ufaransa katika safu ya kati Samir Nasri amefichua kwamba mojawapo ya ufanisi mkubwa wa mkufunzi Pep Guradiola ni kuwaagiza wachezaji wake kutofanya mapenzi baada ya saa sita usiku.

Pep Guardiola will join Manchester City from Bayern Munich ahead of the 2016/17 seasonKatika mahojiano na runinga ya Ufaransa,Nasri amesema kuwa Guardiola aliweka sheria hiyo hata iwapo kungekuwa hakuna mechi siku iliofuatia ili wachezaji wapate usingizi mwanana.

Hata Lionel Messi anayetambulika kuwa mchezaji bora duniani hakuwachwa nje wakati wa uongozi wa Guradiola katika timu ya Barcelona.

Nasri amesema kuwa hatua hiyo ilimwezesha Messi kutopata majeraha ya misuli.

halotel-1

Comments are closed.