The House of Favourite Newspapers

Haji Manara Na Zaiylissa Watangaza Kuisimamisha Dunia – “Baada Ya Uchumba Ni Ndoa”..

0

Mwanadada anayefanya poa kwenye tamthiliya ya Jua Kali, Zaylissah amewaambia waandishi wa habari kwamba Haji Manara atamvalisha pete ya uchumba Januari 18, 2024 na kwamba tukio hilo litaambatana na sapraiz nyingine kubwa.

Zaylissa ameyasema hayo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply