The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Hashim Aziz

0

Aziz

Mfanyakazi wa Global Publishers, Hashim Aziz.

LEO ni siku muhimu sana kwa mfanyakazi wa Global Publishers, Hashim Aziz ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, unamtakia heri ya siku ya kuzaliwa.

Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote na kampuni ya Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Happy Birthday Hashim Aziz (Hash- Power)

Leave A Reply