The House of Favourite Newspapers

Harmonize – Anajikosha (Official Music Video)

0

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize Januari 20, 2021 ameachia video ya wimbo wake wa “Anajikosha”.  Ndani ya video hiyo ameonekana kuipendezesha video.

Huu ndio wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2021 na hii ndiyo video ya kwanza vile vile kwa mwaka 2021.

Leave A Reply