The House of Favourite Newspapers

Harmonize Ashuka na Lifti Stejini Tabata Dar – (Picha + Video)

0

Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul au Harmonize amefungua show yake alfajiri ya kuamkia leo Machi 6, 2021 Tabata jijini Dar es Salaam kwa kushushwa na lifti stejini huku akiwa na mtoto wake.

Kabla ya kuanza kushushwa zilipigwa fataki na baada ya hapo muimbaji huyo alianza kushuka huku shangwe za mashabiki ya muziki zikipigwa kwa nguvu.

 

Leave A Reply