The House of Favourite Newspapers

Harmonize ft Awilo Longomba & H baba – Attitude (Official Music Video)

0

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize  Aprili 23, 2021 ameachia video ya wimbo wake wa Attitude aliowashirikisha wwanamuziki wa Kongo, Awilo Longombana na msanii wa muziki wa Bongo Bolingo, Hamis Ramadhani maarufu kwa jina la H. Baba.

Leave A Reply