The House of Favourite Newspapers

Harmonize – Nitaubeba (Official Video), Atamba na Mpenzi Wake Kajala Masanja

0

HARMONIZE au Teacher Konde; ni staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Septemba 22, 2022 ameachiavideo ya wimbo wake wa Nitaubeba ndani ya video hiyo amemshirikisha mpenzi wake ambaye pia ni mpenzi na Meneja wake, Kajala Masanja.

Leave A Reply