The House of Favourite Newspapers

Hatimaye Baba Mzazi wa Jose Mourinho Azikwa Kwao Setubal

0
 
Hatimaye baba mzazi wa Kocha Mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho mzee Felix Mourinho amezikwa nyumbani kwao Setubal nchini Ureno.

 
Felix Mourinho aliigua kwa siku kadhaa kabla ya kupoteza maisha akiwa na umri wa miaka 79.
Leo amezikwa mjini Setubal nchini Ureno na Mourinho amesafiri kutoka Manchester, England hadi Ureno kushiriki mazishi.

 Mourinho aliungana na mkewe na watoto wake wawili kushiriki mazishi ya Felix.

Leave A Reply