The House of Favourite Newspapers

Hatimaye Mahakama Kutoa Maamuzi Kesi ya Wema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu hadi siku ya Ijumaa, Julai 20, 2018, kwa ajili ya kutoa uamuzi juu ya kesi hiyo.

 

Hayo yameelezwa mbele ya Mahakama hiyo na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba na kusema sababu kubwa ya kesi hiyo kuhairishwa ni kutaka kupata muda wa kupitia baadhi ya vitu vinavyohusiana na kesi ya msanii huyo.

 

Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya aina ya bhangi, na kesi hiyo imehairishwa Julai 20, 2018.

MPAKA HOME: Maisha ya SISTER FEY na KIBENTEN Wake

Comments are closed.