The House of Favourite Newspapers

Hayati Magufuli Azikwa Chato, Vilio Vyatawala – Video

0

BURIANI MAGUFULI: Hapa ndipo itakapofanyika ibada ya mwisho ya kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli. Ni Kanisa la muda lililoandaliwa hapa kwenye Uwanja wa Magufuli, Chato.

Tayari wageni mbalimbali, viongozi na baadhi ya wananchi wameshajumuika.

#BurianiMagufuli #RIPMagufuli #BurianiJPM

Leave A Reply