The House of Favourite Newspapers

Heri ya Kuzaliwa Saleh Ally, Mhariri Mtendaji wa Global Publishers

0

LEO Feburuari 2, 2021 ni siku muhimu sana kwa Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally ‘Jembe’  ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Group iliyopo Sinza Mori jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa.

Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Global Group na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Heri ya Kuzaliwa Saleh Ally!

Leave A Reply