Hiki Hapa Kikosi cha Wananchi Kinachokwea Pipa Kuelekea Algeria
KIKOSI cha Wananchi, Young Africans SC kinachokwea pipa kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger utakaopigwa Juni 3, 2023.