The House of Favourite Newspapers

Huyu Naye… fuata Maelekezo- 4

0

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:

“Njoo ukae hapa kidogo basi Jamila jamani,” alisema baba Rehema huku akinishika mkono na kunikalisha kwenye mapaja yake. Nilijisikia aibu sana yaani mtu mzima kama mimi kukalishwa kwenye mapaja kama mtoto…! Aaaa! Haiji! Lakini nilikaa…
“Umekula?”
“Ndiyo…”
“Oke…sasa nikwambie kile kitu nilichosema jana nitakwambia?”
JIACHIE MWENYEWE SASA…

“Niambie tuone,” nilisema nikijiamini kwamba kuna kitu kizito sana ambacho baba Rehema aliamua kuniambia, hasa kuhusu mke wake, mama Rehema…
“Unajua kutunza siri?”
“Naweza sana, sasa nimwambie nani?” nilimuuliza nikijua kuwa, anachotaka kuniambia ni kuhusu mkewe, sasa nikimwambia si itakula kwangu! Maana ataniuliza mume wake aliniambilia wapi mambo hayo!

Bado nilikuwa nimekaa juu ya mapaja yake, nikiwa natetemeka. Nilitegemea mama Rehema kutokea muda wowote ule. Ila sema nyumba yenyewe ilivyo, hawezi kufika sebuleni bila kusikia geti kubwa likigongwa maana kitasa chake unafunga kwa ndani…
“Kweli?” baba Rehema aliniuliza tena, nikaanza kumshangaa…
“Kweli, kwani vipi baba?”

“Nahisi utasema bwana…”
“Kweli mi siwezi kusema. Kwanza mkeo unamjua. Ukimwambia kitu kwamba wewe umesema si ataninyonga hapohapo, mi sitamwambia kitu, nimeshamzoea,” nilimwambia baba Rehema kwa sauti yangu yenye utulivu wa hali ya juu.

Nikamwona baba Rehema badala ya kuniambia akaanza kunipapasapapasa sehemu za mwilini kwangu kwa juu. Alinishika kifua, akanishika mabega na kuingiza mikono kwenye gauni, sehemu yenye nido.
Kutokana na heshima yangu kwake, nilishindwa kumkatalia, nikajikuta nimetulia licha ya kwamba, shauku yangu kubwa ilikuwa ni kutaka kumsikia hicho alichotaka kuniambia.

Aliendelea kunishikashika mpaka ikafika mahali nikahisi damu mwilini zinataka kumwagika. Mwili ulinisisimka kupita kawaida. Moyo wangu ulikwenda mbio kama siyo kasi.
Sijui nini kilinitokea ila ikafika mahali nikalegea na kupoteza nguvu ya kujiweza. Nilibaki naangalia kila hatua aliyokuwa akiifanya baba Rehema…
“Jamila,” aliniita.

Hapo nilikuwa nimemlalia kabisa…
“Unasikia usingizi?” baba Rehema aliniuliza huku sauti yake ikitoka kwa kukatikakatika.
Nilikubali kwa kutingisha kichwa tu bila kusema neno lolote. Ni kweli kabisa kwamba, nilijiwa ghafla na hali ya kutaka kulala…

“Nikupeleke chumbani kwako ukalale?” aliniuliza, pia nikamkubalia kwa kutingisha kichwa kwamba sawa.
Baba Rehema alinibeba juu kwa juu kama mzigo, akanipeleka chumbani kwangu huku akigusagusa na kidevu chake sehemu za kifuani.
Aliponifikisha kitandani alinitupa puuu!! Kisha na yeye akapanda kitandani…
“Jamila,” aliniita.
Nilichofanya ni kufumbua macho tu kuashiria kwamba nimemsikia alivyoniita…
“Tulale wote?”

Pia sikumjibu, nilimwangalia tu. Sasa akawa hajui nimekubali au la..!
“Si nakuuliza wewe Jamila?”
Kusema kweli nilishindwa kumwambia lolote maana sikujua baba Rehema alikuwa siriasi au alikuwa akinitega tu…

“Niondoke?” aliniuliza. Nikafumbua macho kwa kuyakaza. Kama alijiongeza basi alijua kwamba kufumbua kwangu macho maana yake nilikataa asiondoke maana aniliuliza…
“Sasa we husemi chochote unadhani mimi nitakuelewaje?”
“Namuogopa mama,” kwa mara ya kwanza nilitoa sauti.
“Atafanyaje?”

“Akijua je?”
“Si ulisema huwezi kumwambia, utatunza siri?”
“Si mimi, anaweza kujua tu.”
“Atajuaje?”

“Mh! Baba Rehema mimi namuogoa mama.”
Alichonipatia ni kwamba, wakati anaongea na mimi alikuwa akiendelea kunishikashika, kunipapasapapasa na kuniminyaminya. Mwili wote ukawa si wangu. Nilijikuta namvutia kwangu baba Rehema, naye kwake ikawa kama ‘mungu mkubwa’, akapanda kitandani.

Nilimwachia kila kitu mwenyewe, mimi ningefanyaje sasa. Yeye si ndiyo mwenye shida! Akachojoa nguo zetu zote. Akatoka kitandani, nikajua ameshtuka, nikainuka na kukaa. Kumbe alikuwa anakwenda kufunga mlango wa chumba. Akarudi…

“Hutasema kweli?” aliniuliza tena…
“Baba Rehema sitasema. Kwa nini niseme. Si nilikwambia nina miaka mingi, kwa hiyo siweza kusema jambo la siri na kubwa kama hili.”

“Ngo ngo ngo,” geti kubwa la nje liligongwa, baba Rehema akakurupuka kutoka, nikamshika kwa nguvu na kumrudisha kitandani…
“Kwani we hujasikia geti limegongwa?” aliniuliza nikiwa nimemng’ang’ania.

Je, nini kitaendelea? Usikose kusoma kwenye Gazeti la Risasi Jumatano.

Leave A Reply